News

Mwamuzi Herry Sasii amekumbana na adhabu Kali, baada ya kufungiwa miezi sita kwa makosa ya kushindwa kutafsiri Sheria kwenye mchezo kati ya Simba na Singida Black Stars.
KATIKA ulimwengu wa soka ushindani wa namba na nafasi katika kikosi cha kwanza ni mkubwa kiasi kwamba wachezaji wengi huhisi ...
WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi ...
MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya ...
DIRISHA kubwa la usajili wa Ligi Kuu Bara linanukia na Mwanaspoti linafahamu kuna kitu kinaendelea baina ya Simba na Yanga ...
MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho ...
KUTOKANA na mabadiliko ya kimaisha kunachangia watu wengi kujikuta wakikumbana na changamoto ya afya ya akili, kitaalamu ...
REAL Madrid imemkataza Trent Alexander-Arnold kupeleka Hispania gari yake ya kifahari baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea ...
SUPASTAA wa England, Jadon Sancho amezungumzia kuhusu kuondoka kwake Chelsea baada ya timu hiyo kuilipa Manchester United Pauni 5 milioni ili kutomsainisha mkataba wa kudumu, huku ...
BARCELONA inakabiliwa na hatari ya kuadhibiwa na Shirikisho la Kandanda Ulaya (Uefa) baada ya kukiuka sheria za kifedha mwaka ...
WAWAKILISHI wa kipa wa Southampton, Aaron Ramsdale, wamefanya mazungumzo kuhusu kujiunga na West Ham United akitokea ...