ニュース

Katika hali isiyo ya kawaida, Rais wa Kenya, William Ruto, amejikuta akipigwa na kiatu mkononi kilichorushwa kutoka kwenye ...
Jeshi la Polisi limetangaza kuchunguza tuhuma za kuhusika kwa askari katika tukio la kupotea kwa mwanaharakati na kada wa ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema shambulio dhidi ya Katibu wa Baraza hilo, Padri Charles Kitima, licha ya ...
Majanga ya moto na uvamizi wa watu katika maeneo ya hifadhi za Taifa yameendelea kuwa tishio kwa maeneo ya urithi wa dunia na ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanzisha uchunguzi kufuatia tukio la kutoweka kwa mtoto mchanga mwenye umri wa siku 10, ...
Watahiniwa 134,390 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha sita kuanzia kesho Jumatatu, Mei 5 hadi Mei 26, 2025.
Wanafunzi 522 wa kidato cha sita wa shule nne za sekondari wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, wanatarajia kufanya mtihani wa ...
Mgombea urais wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha AAFP, Kunje Ngombale-Mwiru amesema kiu ya Watanzania kuwa na maendeleo ya ...
Mawaziri watatu wataingia katika mjadala wa wabunge kuhusu bajeti za wizara zao kwa mwaka 2025/26 huku hoja kubwa ...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT - Wazalendo Taifa, Zitto Kabwe amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake kugombea ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mahakama Kuu imemwachia huru mganga wa jadi, Zuwena Runigangwe aliyeshtakiwa kwa kusababisha vifo vya pacha, aliodaiwa kuwapa ...
Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana kuwataka watendaji wa Serikali waliopo chini yake kuwasilisha kadi zao za mpigakura azikague, wadau wa uchaguzi ...