ニュース

Kubali Dhibiti chaguo langu Sherehe za kitaifa za Madaraka Day zinafanyika katika Kaunti ya Embu, Kenya mkoa wa kati ambapo Wakenya walianza kuwasili katika eneo la sherehe hizo saa kumi asubuhi ...
Kamati iliyoundwa na waziri anayeshughulikia masuala ya habari nchini Tanzania Nape Nnauye kuchunguza uvamizi wa kituo cha habari cha Clouds, imewasilisha ripoti yake leo hii kwa waziri huyo.
Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za kuiepusha Syria kutumbukia katika mzozo zaidi, huku Wasyria wakiendelea kushangilia kuanguka kwa utawala wa rais Bashar Al-Assad aliyekimbilia nchini Urusi.