ニュース

ILE vita ya Wasauzi dhidi ya Wamisri haijaisha wakati leo Jumamosi kule Afrika ya Kusini, jijini Pretoria kwenye dimba la ...
LIGI Kuu England 2024/25 itafika ukomo Jumapili, lakini jambo kubwa lililobaki ni vita ya kuwania nafasi ya kucheza michuano ...
HAKUNA kitu kingine ila ni ushindi tu. Ndio, hakuna kitu kinachosubiriwa kwa hamu na mashabiki, wapenzi na wanachama wa klabu ...
VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi ...
Baada ya kuibuka taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amelipia gharama zote za mechi ...
Msanii wa muziki Kid Cudi, mtaalamu wa vipodozi mashuhuri, na mfanyakazi wa hoteli walikuwa miongoni mwa waliotoa ushahidi ...
KIPA wa RS Berkane ya Morocco, Munir El Kajoui amesema kikosi chao kimetua Tanzania kwa kazi moja tu - kuhakikisha ...
CHAMA cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa) kimesema kupoteza timu tatu zilizokuwa Ligi Kuu si jambo la kufumbia macho, bali ...
USHINDANI wa mastaa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu umezidi kukolea na kusababisha mambo kuzidi kunoga. Lakini kuna kuna ...
KIPA wa zamani wa Arsenal, Wojciech Szczesny amebonyeza kitufe cha bluu juu ya mpango wa klabu yake hiyo kumtaka kumsajili ...
NI rasmi, Tottenham Hotspur imefuta ukame wake wa mataji uliodumu kwa miaka 17 baada ya kuichapa Manchester United 1-0 kwenye ...
MANCHESTER United imeripotiwa kwamba itahitaji ilipwe ada ya Pauni 32.52 milioni kwenye mauzo ya winga wa Kibrazili, Antony ...