Nuacht

Kubali Dhibiti chaguo langu Sherehe za kitaifa za Madaraka Day zinafanyika katika Kaunti ya Embu, Kenya mkoa wa kati ambapo Wakenya walianza kuwasili katika eneo la sherehe hizo saa kumi asubuhi ...
Kamati iliyoundwa na waziri anayeshughulikia masuala ya habari nchini Tanzania Nape Nnauye kuchunguza uvamizi wa kituo cha habari cha Clouds, imewasilisha ripoti yake leo hii kwa waziri huyo.
Dodoma. Wabunge wengi wanajadili hoja nje ya muktadha kwani wengi hawafahamu sawasawa namna ambavyo dhana ya ugatuzi wa madaraka (DBD) inavyofanya kazi, Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene amesema ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amesema viongozi wa vyama vya upinzani pekee wameng’ang’ania madaraka kwa ...
Botswana imepongezwa kwa namna inavyoendesha mchakato wa kukabidhi madaraka kwa amani. Hii ni baada ya matokeo ya kushangaza ya uchaguzi ambayo yalivunja udhibiti wa miaka 58 wa chama tawala ...