Actualités

VITA ya madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeendelea kuvujisha siri yakiwamo yote ambayo yaliwahi kufanyika au kufanywa na viongozi wake kwenye vikao vyao vya ndani na ...
Ukraine inadai kuzipiga takriban ndege 40 za Urusi 40, katika kile kinachoonekana kuwa moja ya mashambulizi makali zaidi hadi ...
Aliwaeleza viongozi hao kwamba chama hicho hakina dhamira ya kutaka viti vya ubunge au uwakilishi kwa nia ya kupata madaraka, bali daraja muhimu la kufikia dhamira na malengo ya kuleta mabadiliko ya ...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu. Mfano mzuri ni machafuko ya hivi karibuni nchini Msumbiji yanayohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 9, mwaka jana uliompa madaraka aliyekuwa mgombea ...
Rais wa Komoro Azali Assoumani kwa mara ya kwanza amesema hadharani anakusudia kumrithisha madaraka mwanawe, Nour El Fath, wakati atakapoondoka ofisini mwaka 2029 Kauli ya Rais Assoumani ...
Dar es Salaam. Mjadala ulioibuliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kuhusu ukomo wa madaraka umezidi kupamba moto ndani na nje ya chama hicho, kila upande ukizungumzia suala hilo ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amesema viongozi wa vyama vya upinzani pekee wameng’ang’ania madaraka kwa ...
Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za kuiepusha Syria kutumbukia katika mzozo zaidi, huku Wasyria wakiendelea kushangilia kuanguka kwa utawala wa rais Bashar Al-Assad aliyekimbilia nchini Urusi.
Kubali Dhibiti chaguo langu Sherehe za kitaifa za Madaraka Day zinafanyika katika Kaunti ya Embu, Kenya mkoa wa kati ambapo Wakenya walianza kuwasili katika eneo la sherehe hizo saa kumi asubuhi ...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ya mfano wa kuigwa ndani ya wanachama wa Jumuiya ya Afrika ...
Amesema ugatuzi na ugawanywaji wa madaraka na majukumu kwa mamlaka za mikoa na mitaa ni muhimu katika maendeleo endelevu.
Malgré deux cérémonies bien distinctes pour cette fête nationale du Madaraka Day, il n'y a pas eu d'échauffourées cette fois, car les deux camps avaient passés un accord la veille.