News

Wakuu wa polisi kutoka nchi sita za Afrika Mashariki na Kati wameahidi kushirikiana kukabiliana na uhalifu wa mtandaoni ambao unaonekana kushika kasi katika ukanda huu. Kauli hiyo imetolewa na ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na Usambazaji wa Mitungi ya Gesi (LPG) -TZLPGA kwa lengo la kuwashukuru kwa ...
WANANCHI zaidi ya 11,000 wa vitongoji vitatu vya Mbuyuni, Rudewa Batini na Gongoni katika kata ya Rudewa wilayani Kilosa mkoani Morogoro matumaini yao ya kupanua kilimo chenye uhakika cha umwagiliaji ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi Ofisi Maalum kwa Walipa Kodi Binafsi wa Hadhi ya Juu, ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma kwa kundi la walipa kodi wenye mchango mkubwa katika uchumi wa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko. Na Mwandishi Wetu, Mtanza nia Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi katika Taasisi ...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo. Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Serikali kuendelea na mchakato wa uwekezaji wa bandari huku ikisikiliza maoni yenye ...
NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ...
Katibu wa Umoja wa Wanawake Viongozi Serikalini, Sakina Mwinyimkuu (wa pili kushoto) akimkabidhi sehemu ya mashuka 400 Naibu Katibu Mkuu Afya, Dk. Grace Maghembe katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa ...
Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amekutana na wadau na taasisi mbalimbali wa madini kutoa na kupokea maoni ya marekebisho ya ...
Atiki Ally Atiki akiwa katika harakati zake za mchezo wa Mpira wa Kikapu (Picha kwa Hisani ya The Citizen). Na Mwandishi Wetu Imekuwa ni kawaida kwa Shule ya Sekondari ya High View na ya Msingi High ...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kikao ambacho OSHA ilifanya ...
Jeshi la Sudan limetangaza mafanikio makubwa baada ya kukomboa mji wa Wad Madani, mji muhimu mashariki mwa nchi hiyo, kutoka mikononi mwa vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF). Tukio ...