News

Jeshi la Polisi limetangaza kuchunguza tuhuma za kuhusika kwa askari katika tukio la kupotea kwa mwanaharakati na kada wa ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema shambulio dhidi ya Katibu wa Baraza hilo, Padri Charles Kitima, licha ya ...
Katika hali isiyo ya kawaida, Rais wa Kenya, William Ruto, amejikuta akipigwa na kiatu mkononi kilichorushwa kutoka kwenye ...
Majanga ya moto na uvamizi wa watu katika maeneo ya hifadhi za Taifa yameendelea kuwa tishio kwa maeneo ya urithi wa dunia na ...
Wanafunzi 522 wa kidato cha sita wa shule nne za sekondari wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, wanatarajia kufanya mtihani wa ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanzisha uchunguzi kufuatia tukio la kutoweka kwa mtoto mchanga mwenye umri wa siku 10, ...
Watahiniwa 134,390 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha sita kuanzia kesho Jumatatu, Mei 5 hadi Mei 26, 2025.
Mgombea urais wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha AAFP, Kunje Ngombale-Mwiru amesema kiu ya Watanzania kuwa na maendeleo ya ...
Zaidi ya wanafunzi 100 wamelazwa hospitalini baada ya kula chakula kilichodaiwa kuwa na nyoka mfu mwishoni mwa juma, wakiwa ...
Mahakama Kuu imemwachia huru mganga wa jadi, Zuwena Runigangwe aliyeshtakiwa kwa kusababisha vifo vya pacha, aliodaiwa kuwapa ...
Mawaziri watatu wataingia katika mjadala wa wabunge kuhusu bajeti za wizara zao kwa mwaka 2025/26 huku hoja kubwa ...
Kama sehemu ya wajibu wangu wa kitaaluma, huwa ninaandaa, kuendesha na kutathmini mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa walimu, ...