Nieuws

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanachama wa Chama cha Waandishi Waendesha Ofi si Tanzania (TAPSEA) wajiandikishe na ...
Mama Samia Suluhu Hassan ni rais wa sita wa Tanzania ambaye ameingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli. Alikuwa Makamu wa Rais toka mwaka 2015.
Katika sekta ya misitu, amesema Finland imekuwa ikiisaidia Tanzania katika utunzaji wa misitu na katika ziara hii, Rais Stubb ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Tanzania.hatua hiyo inafuatia kifo cha ghafla cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli, mwezi Machi mwaka huu.
Mbali na Rais kutoa kiasi hicho, fedha zilizochangishwa kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa hilo ni Sh250.2 milioni.
ARUSHA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itazifanyia kazi changamoto zilizowasilishwa na Chama cha Waendesha Ofisi ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wanne wa mashirika ya Serikali. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Aprili 29, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ikimnukuu Katibu Mkuu Ki ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kutinga kwa mara ya kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika na hivyo kuandika historia mpya.
JUZI kati mchekeshaji Said Said alipata nafasi nyingine ya kuchekesha mbele ya kiongozi mkuu wa serikali ya Tanzania, Rais ...
Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania kuanzia Mei 14 hadi 16 Mei, ...